Friday, February 10, 2012

Freeway face 2 face na Rick Ross Mahakamani

William Leonard Roberts III


Freeway Rick Ross




Ile battle between muuza mihadarati/ madawa wa zamani, Freeway "Rick Ross" na Star wa HIP HOP, William Leonard Roberts III "Rick Ross", yafika mahakamani.

The two men walitinga in MIAMI court wiki iliopita, juu ya beef kuhusu nembo ya jina "RICK ROSS".

Freeway Rick Ross alifungua kesi hiyo inayogharimu million 10, cheddar za kimarekani (USD)dhidi ya Rick Ross a.k.a William Leonard Roberts wa III, mwezi May 2010 claimin' Rick Ross anajivunia mpunga kupitia jina hilo, kinyume na sheria!

No comments:

Post a Comment